Chuo cha Kimataifa cha Kikristo cha kukochi (Mafunzo)
Tunakualika kuchunguza ukomavu wako wa kiroho katika Kristo, kwa kutumia Gurudumu la Ukuwaji wa Kiroho
Uhusiano
na Utatu
Usikivu wa kiroho
(spiriture sensitivity )
Mabadiliko
ya tabia
Ku huishwa
kwa akili zako
(Upya wa Akili au ufahamu)
Kutegemeza, kusaidia
(kutia moyo)
wanao kuzunguka
Uvumilivu
katika Imani
Ujuzi
wa Huduma
kwa Vitendo
Utekelezaji
wa wito
Hiki ni chombo cha uchunguzi cha Chuo cha Kimataifa cha Mafunzo ya Kikristo
Kubaini ukomavu wako wa kiroho katika Kristo kwa kutumia alama themanini katika vigezo nane muhimu vya ukuaji wa kiroho.
Chombo hiki kinatokana na kanuni zinazozingatia katika shughuli za ICCA (Chuo cha Kimataifa cha Kikristo cha kukochi)
Kisichoweza kupimwa hakiwezi kubadilishwa
Jinsi ya kufanya kazi na GMK (gurudumu la maendeleoya kiroho)?
Uko tayari? Basi tuanze.- 1 Soma kila taarifa kwa uangalifu na uweke alama kwa kiwango cha kiasi gani taarifa hiyo ni ya kweli katika maisha yako, ambapo “0” sio kweli hata kidogo na “10” ni kweli kabisa.
- 2 Usijaribu kutoa majibu ya kupendeza, kuwa mwaminifu kwako mwenyewe. Watu wakamilifu wa kiroho ama hawapo kabisa au ni wachache sana katika ulimwengu wetu. Mapungufu utakayogundua yatakusaidia kuona maeneo ya ukuaji wa kiroho ambayo unahitaji kuyapa kipaumbele